sw_tn/num/13/21.md

20 lines
403 B
Markdown

# Sini ... Rehobi ... Zoani
Haya ni majina ya maeneo
# jangwa la Sini
Neno "Sini" ni jina la Kihebrania lenye maana ya jangwa.
# Hebroni ilikuwa imejengwa miaka saba kabla ya Zoani ya Misri
"Wakanaani walikuwa wameijenga Hebroni miaka 7 kabla ya kuijenga Zoani"
# Ahimani ... Sheshai ... Talmai
Haya ni majinia ya koo zilizokuwa zimeitwa kufuata mababu zao.
# Anaki
Hili ni jina la mwanamume