sw_tn/num/10/09.md

12 lines
315 B
Markdown

# Nanyi mtakapoenda vitani ... wanaowakandamiza
"Waisraeli wanapokuwa vitani ... kwa wale wanaowakandamiza Waisraeli"
# ndipo mtakapotoa sauti ya ishara ya tarumbeta
"basi utawaamuru makuhani kupiga sauati ya tarumbeta "
# nitawaita na kuwakumbuka
Kirai cha " kuwaita" kinamanisha kuwakumbuka. "Nitawakumbuka"