|
# Kohathi
|
|
|
|
Tazama 3:17
|
|
|
|
# kati ya miaka thelathini na hamsini
|
|
|
|
"kati ya miaka 30 hadi 50"
|
|
|
|
# wataungana na kundi
|
|
|
|
Neno "kundi"linamaanisha wale watu wengine wanaofanya kazi kwenye hema ya kukutania.
|
|
|
|
# vilivyohifadhiwa kwa ajili yangu
|
|
|
|
"ambavyo nimevichagua kwa ajili yangu"
|