sw_tn/mrk/03/09.md

16 lines
627 B
Markdown

# Na aliwaambia wanafunzi wake kuwa na mtubwi mdogo... ili kwamba wasije wakamsonga.
Kama ilivyokuwa umati mkubwa ulikuwa unamsonga Yesu, alikuwa katika hatari ya kusongwa. Katika mstari wa 9-10 yameunganishwa na kusemwa taarifa dhabiti kwa usahihi.
# aliwauliza wanafunzi wake
"Yesu aliwambia wanafunzi wake"
# Kwa kuwa aliponya wengi, ili kwamba
Neno "wengi" umaanisha idadi kubwa ya watu waliokwisha ponywa na Yesu. "Kwa sababu Yesu alikuwa ameponya tayari watu wengi, kila mmoja"
# yeyote aliyekuwa na mateso alikuwa na shauku ya kumsogelea ili kwamba amguse.
"wagonjwa wote walimsonga wakiwa na shauku ya kumgusa"