forked from WA-Catalog/sw_tn
882 B
882 B
wadeni wa bwana wake
"watu ambao walikuwa katika madeni kwa bwana wake" au "watu ambao wanadaiwa kitu na bwana wake." Katika hadithi hii wadaiwa wanadaiwa mafuta na ngano.
Alisema ... Naye akamwambia
"mdaiwa alisema ... Na wakili akamwambia mdaiwa"
Mapipa mia ya mafuta
Haya yalikuwa yapata lita 3,000 ya mafuta.
mia ... hamsini ... themanini
"100 ... 50 ... 80"
vipimo mia vya ngano
Hii ilikuwa yapata vikapu elfu vya ngano.
Wakili akamwambia mtu mwingine ... Alisema ... Naye akamwambia
"wakili akamwambia mdaiwa mwingine ... mdaiwa alisema ... wakili akamwambia mdaiwa"
Alisema ... Naye akamwambia
"mdaiwa alisema ... Na meneja akamwambia mdaiwa"
mia ... hamsini ... themanini
"100 ... 50 ... 80"
Wakili akamwambia mtu mwingine ... Alisema ... Naye akamwambia
"wakili akamwambia mdaiwa mwingine ... mdaiwa alisema ... wakili akamwambia mdaiwa"