sw_tn/jhn/20/11.md

16 lines
246 B
Markdown

# aliwaona malaika wawili na nguo nyeupe
Malaika walikuwa wamevaa nguo nyeupe
# wakamwambia
walimuuliza
# Kwa sababu wamemchukua Bwana wangu
Kwa sababu wameuchukua mwili wa Bwana wangu
# Nami sijui walikomweka
Nami sijui walipouweka mwili