forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
353 B
Markdown
8 lines
353 B
Markdown
# Sasa mahali ambapo Yesu alisulibiwa kulikuwa na bustani....hakuna mtu alikuwa amezikwa humo
|
|
|
|
Hapa mwandishi Yohana anatoa maelezo kuhusu mahali ambapo kaburi lilikuwa
|
|
|
|
# Kwa sababu ilikuwa siku ya maandalio kwa Wayahudi
|
|
|
|
Kulingana na sheria ya Kiyahudi, hakuna mtu aliyeruhusiwa kufanya kazi baada ya jua kuzama. Ilikuwa ni mwanzo wa Sabato na Pasaka
|