|
# kweli ni nini?
|
|
|
|
"Hakuna awezaye kujua kitu kilicho cha kweli"
|
|
|
|
# Wayahudi
|
|
|
|
hii inamaanisha viongozi wa Kiyahudi
|
|
|
|
# siyo huyu, ufungulie Baraba
|
|
|
|
tafsri kuonesha kuwa hawakumtaka Baraba bali Yesu
|
|
|
|
# Baraba alikuwa mnyang'anyi
|
|
|
|
Hapa Yohana anaeleza Baraba alikuwa mtu wa aina gani
|