# Maelezo ya jumla:
Mstari wa 14 unatoa maelezo yanayomhusu Kayafa
# Wayahudi
hii inamaanisha viongozi wa Wayahudi
# Walimkamata Yesu na kumfunga
Askari walimfunga Yesu mikono ili asitoroke