# Mambo ya kuwaambia
"ujumbe kwa ajili yenu"
# Roho wa kweli
Hili ni jina la Roho Mtakatifu atakayewaambia watu kweli ya Mungu
# atawaongoza katika kweli yote
kweli inamaanisha ukweli wa kiroho