sw_tn/jhn/15/16.md

20 lines
500 B
Markdown

# Hamkunichagua mimi
Yesu anasema kuwa wanafunzi wake hawakuchagua wenyewe kuwa wanafunzi
# nendeni mkazae matunda
hii inamaanisha kuishi maisha yanayompendeza Mungu
# kwamba matunda yenu yapate kukaa
matokeo ya matendo yenu yadumu milele
# lolote muombalo kwa Baba kwa jina langu, atawapeni
"jina langu" ni kiwakilishi cha mamlaka ya yesu.
# Mambo haya ninawaagiza, kwamba mpendane kila mtu na mwenzake
Upendo wa aina hii unatoka kwa Mungu na unawafaidia wengine pasipo kujali matendo yao.