sw_tn/jhn/14/12.md

12 lines
353 B
Markdown

# amini, amini
Hii ina maana ya kumwamini Yesu, ndiyo kwamba, Kuamini kwamba ni Mwana wa Mungu, kumtumaini yeye kama Mwokozi, na kuishi katika njia ambayo inamweshimu yeye.
# Chochote mkiombacho katika jina langu, nitafanya
Hii ni hali ya kuonesha ukuu na uwezo wa Yesu
# Baba...Mwana
Hivi na vyeo muhimu vikielezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu.