sw_tn/jhn/12/30.md

12 lines
229 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yesu anaelezea sababu za sauti kutoka mbinguni
# Sasa ni wakati wa hukumu ya ulimwengu
ulimwengu humaanisha watu wote walio duniani
# sasa mtawala wa dunia hii atatupwa nje
mtawala wa dunia hii ni Shetani