sw_tn/jhn/06/41.md

12 lines
217 B
Markdown

# Kiunganishi cha Maneno:
Viongozi wa Wayahudi wanaingilia kati wakata Yesu anaongea na mkutano.
# nung'unika
Kuongea katika hali ya kutokuwa na furaha
# Mimi mkate wa uzima
Tafsiri hii kama ulivyotafsiri 6:35