sw_tn/jhn/06/13.md

16 lines
312 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yesu anajitoa katika mkutano. Hii ni sehemu ya mwisho ya simulizi kuhusuYesu kuwalisha mkutano juu ya mlima.
# wakakusanyika
"Wanfunzi wakakusanya"
# wakaacha
chakula ambacho hakuna mtu aliye amekila
# ishara hii
Yesu anawalisha watu 5000kwa mikate mitani ya shairi na samaki wawili.