forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
286 B
Markdown
8 lines
286 B
Markdown
# ninyi hamwezi kuamini hadi mwone ishara na maajabu
|
|
|
|
Msipo...hamwe kuamini" ni mashaka hasi. Katika lugha nyingine hili linatafsiriwa katika mtazamo chanya. "Mtaamini tu pale mtakapoona miujiza."
|
|
|
|
# kuliamini neno
|
|
|
|
Hapa "neno" lina maanisha ujumbe ambao Yesu alioutoa. "amini ujumbe."
|