sw_tn/jhn/04/13.md

12 lines
313 B
Markdown

# atapata kiu tena
"atahitaji kunywa maji tena.""
# maji nimpayo yatakuwa chemchemi ndani yake
Neno "chemchemi" ni fumbo kwa maji yatiayo uzima. "maji nitakayompa yatakua kama chemchemi ya maji ndani yake."
# uzima wa milele
hapa "uzima" lina maanisha "uzima wa kiroho" ambao ni Mungu pekee anayeweza kutoa.