sw_tn/jhn/02/09.md

8 lines
174 B
Markdown

# (lakini watumishi waliochota maji walifahamu)
hii ni habari ya nyuma.
# kulewa
kutokuweza kuelewa pombe ghali na isiyo ghali kwa sababu ya kunywa kiasi kingi cha kileo.