forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
635 B
Markdown
16 lines
635 B
Markdown
# Umati wa wavamizi wako watakuwa kama vumbi dogo, na wingi wa walio wakatili kama makapi ya majani ambacho hupita mbali
|
|
|
|
Hii inasisitiza jinsi jeshi linalovamia ni dhaifu na lisilo na maana mbele za Mungu. "Yahwe ataondoa kirahisi umati wa wavamizi wako na wingi wa walio katili"
|
|
|
|
# umati wa mavazi yako
|
|
|
|
"wanajeshi wengi watakushambulia"
|
|
|
|
# walio wakatili kama makapi ya majani
|
|
|
|
"wanajeshi ambao hawataonyesha huruma watakuwa kama makapi ya majani"
|
|
|
|
# Yahwe wa majeshi atakuja kwako
|
|
|
|
Neno "kwako" ina maana ya watu wa Yerusalemu. Maana zaweza kuwa 1) "Yahwe wa majeshi atakuja kukusaidia" au 2) "Yahwe wa majeshi atakuja kukuadhibu"
|