forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
761 B
Markdown
12 lines
761 B
Markdown
# Ni kwa nani atamfundisha maarifa, na kwa nani ataelezea ujumbe?
|
|
|
|
Manabii na makuhani walevi wanatumia swali kumkosoa Isaya, ambaye anajaribu kuwasahisha. "Manabii walevi na makuhani wanasema, 'Isaya hatakiwi kujaribu kutufundisha kuhusu ujumbe wa Yahwe!'"
|
|
|
|
# Kwa wale ambao wameachishwa maziwa au kwa wale ambao wameondolewa tu kutoka kwenye titi?
|
|
|
|
Manabii na makuhani walevi wanatumia swali kumkosoa Isaya, kwa sababu wanahisi ya kwamba anawafanya kama watoto. "Hatakiwi kutufanya kama watoto!"
|
|
|
|
# Kwa maana ni amri baada ya amri, amri juu ya amri; utawala juu ya utawala, utawala juu ya utawala; hapa kidogo, pale kidogo
|
|
|
|
Manabii na makuhani walevi wanamkosoa Isaya kwa sababu wanahisi Isaya anarudia amri za kawaida kana kwamba alikuwa akiongea kwa mtoto.
|