sw_tn/ezk/26/05.md

32 lines
780 B
Markdown

# Atakuwa
Mara nyingi miji inarejewa kama "yeye." "Tire itakuwa" au "Itakuwa."
# sehemu ya kuwekea nyavu kati ya bahari
Sehemu ya Tire ilikuwa kisiwa. "kisiwa kisichokuwa na kitu kilitumika kwa ajili kukaushia nyavu za samaki"
# hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
Tazama tafsiri yake katika 5:11.
# pora
vitu ambavyo watu walivyovipoteza
# atakuwa mateka kwa mataifa
"majeshi kutoka mataifa wataiba kila kitu kutoka Tire."
# Binti zake walioko mashambani watachinjwa kwa panga
"Adui wa jeshi atawaua mabinti zake ambao wapo katika uwanda."
# Binti zake waliopo katika uwanda
Wakati mwingine vijiji viliitwa mabinti vya miji iliyotawala juu yao. wasichana wa Tire waliokuwa wakifanya kazi katika mashamba.
# watajua yakuwa mimi ni Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 6:6