Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli.
Hawakuenenda katika amri zangu
Tazama tafsiri hii katika 20:13.
hivyo nimeamua kumwaga ghadhabu yangu juu yao kutimiza ghadhabu yangu
Tazama hii tafsiri katika 20:8.