sw_tn/ezk/20/08.md

594 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli.

wameasi juu yangu

Neno "wao" linarejea kwa "uzao wa nyumba ya Yakobo."

hawakuwa tayari kunisikiliza

"hawakuweza kunitii"

hivyo haikunajisi katika macho ya mataifa

Hili neno linamaanisha "hivyo mataifa hayatafikiri kwamba jina langu halikuwa takatifu."

walikuwa wakiishi

"walikuwa wakiishi."

Nilijifanya mwenyewe kujulikana kwao

"Nimewaonyesha mataifa mimi ni nani"

katika macho yao

"katika hali yakwamba mataifa wanaweza kuona"

kuwaleta

"kuwaleta watu wa nyumba ya Yakobo"