forked from WA-Catalog/sw_tn
48 lines
1.3 KiB
Markdown
48 lines
1.3 KiB
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli. Kila mifano ya "miji" inarejea kwa "mji" ambao Ezekieli kuchonga kwenye tofali (4:1).
|
|
|
|
# mwana wa adamu
|
|
|
|
"mwana wa mwanadamu" au "mwana wa binadamu." Mungu anamwita Ezekieli hivi kusisitiza kwamba Ezekieli ni mwanadamu tu. Mungu ananguvu na huishi milele, lakini watu hawawezi kushi milele.
|
|
|
|
# kiwembe cha kinyozi
|
|
|
|
"ubapa kwa ajili ya kunyolea nywele"
|
|
|
|
# pitisha wembe juu ya kichwa chako na ndevu
|
|
|
|
"nyoa kichwa chako na uso wako" au "ondoa nywele zako kutoka kichwa chako na ndevu kutoka uso wako"
|
|
|
|
# Choma theluthi ya tatu ya hiyo
|
|
|
|
"Choma theluthi ya tatu ya nywele zako"
|
|
|
|
# kati
|
|
|
|
katikati
|
|
|
|
# wakati siku za ngome zitakapokamilika
|
|
|
|
"wakati siku za ngome ya Yerusalemu zitakapoisha"
|
|
|
|
# chukua theluthi ya tatu ya nywele
|
|
|
|
"chukua moja ya tatu ya manyoya ya nywele"
|
|
|
|
# na uipige kwa upanga kuzunguka mji wote
|
|
|
|
"na ipige kwa upanga wako mji wote"
|
|
|
|
# tawanya theluthi yake kwenye upepo
|
|
|
|
"ruhusu upepo uvume theluthi ya mwisho ya nywele zako katika mwelekeo tofauti"
|
|
|
|
# Nitasogeza upanga kufata watu
|
|
|
|
Neno "upanga" ni mfano kwa ajili ya adui maaskari ambao watawashambulia kwa panga zao, na kwa "kusogeza upanga" ni kupeleka maadui kuwafatilia na kuwashambulia kwa uapanga. (UDB)
|
|
|
|
# Nitakusogoza mbali kwa upanga
|
|
|
|
"Nitauvuta upanga nje ya kibebeo chake"
|