sw_tn/exo/39/42.md

12 lines
225 B
Markdown

# Kulingana na yote
"Na kisha watu"
# tazama
Neno "tazama" hapa linaleta umakini wa maelezo yanayo fuata.
# kama vile Yahweh alivyokuwa ameamuru. Hivyo ndivyo walivyokuwa wamefanya.
Walifanya kama Yahweh alivyo waamuru"