Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.
Naye akaifanyia pete mbili za dhahabu ...
Kwa 37:27-28 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 30:3 na 30:5
kazi ya mtengenezaji wa marhamu
Mmarhamu ana ujuzi katika kuchanganya viungo na mafuta.