mbao mbili za mawe
Hizi ni mbao mbili za mawe ambazo Mungu aliandika amri zake.
Na zile mbao zilikuwa kazi ya Mungu nayo maandiko yalikuwa maandiko ya Mungu
Hii mistari miwili ina maana moja. Wa pili waeleza jinsi hizi mbao zilikuwa "kazi pekee ya Mungu"