sw_tn/deu/33/21.md

16 lines
468 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kuelezea kabila la Gadi kama mtu mmoja, ambalo alianza kufanya katika 33:20.
# fungu la kiongozi
Hii ina maana ya kipande kikubwa cha ardhi ambacho kiongozi mara nyingi alichukua.
# Alikuja na vichwa vya watu
"Walikutana na viongozi wote wa Waisraeli"
# Alitekeleza haki ya Yahwe na maagizo yake pamoja na Israeli
"Walitii yote ambayo Yahwe aliwaamuru Waisraeli"