sw_tn/deu/32/41.md

12 lines
366 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
# Nitakaponoa panga langu lingaaro
Hii ina maana Mungu anaandaa kuhukumu na kuadhibu adui zake. "Ninaponoa panga langu ling'aaro" au "Nitakapokuwa tayari kuhukumu adui zangu"
# mkono wangu utakapoanza kuleta haki
Hapa "mkono" inawakilisha mtu mzima. "nitakapokuwa tayari kuhukumu waovu"