forked from WA-Catalog/sw_tn
509 B
509 B
Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" ni katika umoja.
kiota cha ndege
nyumba ambayo ndege hujitengenezea kwa kutumia vijiti, nyasi, mimea, na matope.
kikiwa na makinda ya ndege au mayai ndani mwake
"na watoto wa ndege aumayai ndani ya kiota"
na mama yao akiwa juu yao
"na mama wa ndege akikalia juu ya makinda ya ndege"
siku zako ziweze kurefushwa
Siku ndefu ni lugha nyingine kwa maisha marefu. "kuweza kuishi muda mrefu".