"watoto"
"na vitu vyote vya thamani"
Hivi ni vitu vya thamani ambavyo watu wanaoshinda vita huchukua kutoka kwa watu waliowashambulia.
Hapa "miji" inawakilisha watu. "watu wote wanaoishi katika miji"