|
# damu ni uhai
|
|
|
|
hapa njia ambayo damu huimarisha uhai inazungumzwa kama kama damu ilikuwa maisha yenyewe.
|
|
|
|
# hautakula maisha pamoja na nyama
|
|
|
|
Neno "maisha" hapa uwakilisha damu ambayo inaimarisha maisha.
|
|
|
|
# kipi ni sawa machoni pa Yahwe
|
|
|
|
Hapa "macho" uwakilisha mawazo na maoni.
|