sw_tn/deu/12/13.md

16 lines
340 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Jihadhari wewe mwenyewe
kuwa mwangalifu
# kila eneo ambalo unaloliona
"eneo lolote ambalo linakubariki wewe" au " popote unataka"
# lakini ni mahali ambapo Yahwe atachagua
Sadaka za kuteketeza zinapaswa kufanywa hekaluni. Yahwe mwenyewe atachagua wapi hekalu liwekwe.