Hii inarejea kwa sheria za Musa zitakazotelewa katika sura zifuatazo.
Hili ni jina la mji huko Moabu karibu na mlima Pisgah.
"Mfalme Sihoni...watu wa Amorite...mji wa Heshboni."