forked from WA-Catalog/sw_tn
367 B
367 B
Taarifa ya ujumla
Huu ni mwisho wa sehemu wa hotuba ya Musa akiwakumbusha wanaisraeli kwa namna Yahwe alivyowaongoza jangwani.
Usiwasumbue Moabu
Neno "Moabu" ni neno lenye maana sawa na watu wa Moabu.
Ar
Hili ni jina la mji huko Moabu
uzao wa Lutu
Watu wa Israel walihusiana na uzao wa Maobu. Maobu alikuwa mtoto wa Lutu. Lutu alikuwa mpwa wa Abrahamu