forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
542 B
Markdown
16 lines
542 B
Markdown
# Wakati huo huo akamtangaza Yesu
|
|
|
|
ukumu la kumtangaza Yesu, punde alianza kulifanya.
|
|
|
|
# Akisema kuwa Yeye ni mwana wa Mungu
|
|
|
|
"Yeye" inaashiria kuwa ni Yesu. Sauli, Baada ya kumwamini Yesu na kumjua Yesu kama 'mwana wa Mungu"
|
|
|
|
# Wote waliomsikiliza
|
|
|
|
Wengi walipata kusikia habari zake.
|
|
|
|
# Sio mtu yule aliyewaharibu wote wa Yerusalemu walioliitia jina hili?
|
|
|
|
Hii ni kejeli na swali hasi linalomwelezea Paulo kuwa hakika alikuwa mtu ambaye aliwatesa waamini. "Huyo ni mtu ambaye aliwaharibu wote wa Yerusalemu walioliitia jina hili la Yesu!"
|