forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
811 B
Markdown
20 lines
811 B
Markdown
# Matendo 5 Maelezo kwa jumla
|
|
|
|
## Dhana maalum katika sura hii
|
|
|
|
### "Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu"
|
|
|
|
Hakuna anayejua kwa ukamilifu iwapo Anania na Safira walikuwa Wakristo wa ukweli walipoamua kudangaya kuhusu kipande cha ardhi walichokiuza (Matendo 5:1-10), kwa maana Luka hataji swala hili. Anasema tu kwamba walikuwa "miongoni mwa walioamini" (Luke 4:32).Hata hivyo, Petero alifahamu kwamba walidanganya waumini, na alijua kwamba walikuwa wamsikiliza na kumtii shetani.
|
|
|
|
Walipowadanganya waumini, pia walimdanganya Roho Mtakatifu kwa sababu anaishi ndani ya Waumini.
|
|
|
|
### Gereza
|
|
|
|
"Gereza ya uma" ambamo Baraza la Wayahudi walimueka ndani Petero (Matendo 5:18) huenda lilikuwa gereza.
|
|
|
|
## Links:
|
|
|
|
* __[Acts 05:01 Notes](./01.md)__
|
|
|
|
__[<<](../04/intro.md) | [>>](../06/intro.md)__
|