sw_tn/act/04/21.md

20 lines
593 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Msitari wa 22 unatoa habari ya nyumba kuhusu umri wa mtu kiwete aliyeponywa.
# Baada ya maonyo zaidi
Wayahudi Viongozi waliwatishia Petro na Yohana kuwapa adhabu tena.
# Hawakuweza kupata sababu yoyote ya kuwaadhibu
Viongozi hawakuweza kupata kujua kwa namna gani wawaadhibu Petro na Yohana bila ya kusababisha vurugu miongoni mwa watu waliomwona mtu aliyeponywa.
# kwa kile kilichokuwa kimetendeka
Kwa kile Petro na Yohana walichokuwa wametenda
# Mtu aliyekuwa amepokea muujiza wa uponyaji
Mtu yule ambaye Petro na Yohana walikuwa wamemtendea muujiza wa uponyaji.