sw_tn/2sa/23/06.md

16 lines
406 B
Markdown

# Maelezo ya Ujumla
Hii inahitimisha maneno ya mwisho ya Daudi.
# Lakini yasiyofaa yote yatakuwa kama miiba na kutupwa mbali
Hapa waovu wanalinganishwa na miba isiyofaa.
# kwa maana haiwezekani kukusanywa kwa mikono
"Kwa maana hakuna awezaye kuichukua kwa mikono yake bila kumwumiza"
# Ni lazima yachomwe mahali yalipo
"Yalipo" ndipo yanapochomewa." Hii inamaanisha kwamba Mungu atawaharibu waovu.