forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
769 B
Markdown
24 lines
769 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho
|
|
|
|
# Kisha nchi ilitikisika... ikawashwa kwayo
|
|
|
|
Hili ni jibu la Yahwe kwa kilio cha Daudi msaada kutoka kwa adui zake. Daudi anatumia taswira ya dunia kutikisika na moto kutoka kwa Yahwe kusisitiza hasira kari ya Yahwe.
|
|
|
|
# Dunia ilitikisika... mbingu zikatetemeka
|
|
|
|
Daudi anazungumzia mitizamo hii miwili kuhusisha kila kitu katika uumbaji.
|
|
|
|
# na ilitikiswa , kwa sababu Mungu alikuwa na hasira.
|
|
|
|
Hii yaweza kumaanisha "kwa sababu hasira ya Mungu ilizitikisa."
|
|
|
|
# mianzi ya pua yake... kinywa chake
|
|
|
|
Daudi anamzungumzia Yahwe kama vile alikuwa na sehemu hizi za wanadamu.
|
|
|
|
# Makaa yaliwasha kwayo
|
|
|
|
Hapa hasira ya Yahwe inalinganishwa na moto, uliosababisha makaa kuwashwa.
|