sw_tn/2sa/15/11.md

20 lines
339 B
Markdown

# Waliokuwa wamearikwa
Inamaanisha "watu waliokuwa wamepewa taarifa"
# Wakaenda katika ujinga wao
Hawakuwa wanatambua kwa undani kilichokuwa kinakwenda kutendeka
# Akamwita Ahithofeli
Hii inamaanisha kwamba alituma wajumbe kumwita Ahithofeli na kumleta kwake.
# Ahithofeli
Hili ni jina la mwanamme.
# Gilo
Hili ni jina la sehemu.