sw_tn/2sa/10/11.md

8 lines
204 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yoabu analiweka tayari jeshi kwa vita.
# Kwangu, kisha wewe, Abishai, lazima uniokoe
Hapa "mimi" inarejea kwa Yoabu anayewakilisha askari wake. Pia, Abishai anawakilisha jeshi lake.