"Walikuwa wameikusanya"
Kirai hiki ni alama; kina onesha au kuashiria kwamba tukio au jambo linalofuata katika hadithi hii ni muhimu sana; ni sawa na kusema, "Sasa, tambua kinachofuata".