sw_tn/1sa/20/03.md

12 lines
427 B
Markdown

# Nimepata kibali machoni pako
Hapa macho yanawakilisha kuona, na kuona inawakilisha mawazo au hukumu. AT "Nimekupendeza wewe" au "unaniona vizuri"
# atakuwa mwenye huzuni
Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "hii itashuhudia yeye" au "atakuwa na huzuni sana"
# kuna hatua moja tu kati yangu na mauti
Hapa "hatua kati yangu na mauti" ni msemo ambao unahusu kuwa karibu sana na mauti. AT "Mimi ni karibu sana mauti"