forked from WA-Catalog/sw_tn
602 B
602 B
Taarifa ya jumla:
Watu walipokuwa wakitoa dhabihu za wanyama, walichoma mafuta ya mnyama kwanza kisha walichemsha nyama na kula.
Hawakumjua Bwana
Hawakumsikiliza Bwana au kumtii.
Desturi
Desturi ni tendoambalo watu hulifanya mara kwa mara.
sufuria ... birika ... chombo ... chungu
Hivi ni vyombo vinavyotumika kupikia chakula.
sufuria
Ni chombo kidogo cha chuma kwa ajili ya kuchemshia.
Birika
Ni chombo kikubwa kizito cha chuma kwa ajili ya kuchemshia.
chombo
Ni chombo kikubwa kizito cha chuma kwa ajili ya kuchemshia.
chungu
Ni chombo cha udongo kwa ajili ya kupikia