# Taarifa kwa ujumla
Makahaba wawili wanaendelea kumweleza kisa chao Sulemani
# kumhudumia mwanangu
Hii inamaanisha kumnyonyesha mtoto kwa maziwa yake.
# mbele ya mfalme
"mbele ya Sulemani"