|
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Daudi anaendelea kuzungumza na Sulemani.
|
|
|
|
# Sasa
|
|
|
|
Daudi anatumia hili neno kutambulisha kitu muhimu anacho kwenda kusema.
|
|
|
|
# Uweze kujenga
|
|
|
|
"Uweze kufanikiwa kuelekeza jengo"
|
|
|
|
# ata kapokuweka kiongozi juu ya Israeli
|
|
|
|
"atakapo kufanya mfalme juu ya Israeli"
|