sw_tn/1ch/21/16.md

16 lines
318 B
Markdown

# akiwa na upanga mkonono mwake
"tayari kushambulia"
# Sio mimi niliye amuru jeshi kuhesabiwa?
"Mimi ndiye niliye amuru jeshi lihesabiwe"
# Lakini hawa kondoo
Daudi anawaelezea watu wa Israeli kama aina ya wanyama watao muamini na kumfuata kiongozi.
# wamefanya nini?
"Hawaja fanya kitu kinacho stahili adhabu"