sw_tn/1ch/14/15.md

16 lines
264 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mungu anaendelea kumjibu Daudi kwa swali lake.
# atakutangulia kwenda
"ataenda mbele yako kukupigania"
# Gezeri
Hili ni jina la mji
# umaarufu wa Daudi ukaenda katika nchi zote
"Watu wa mbali wakaskia ushinde wa Daudi dhidi ya Wafilisti"