# Akaimarisha mji
"Waisraeli wakafanya ukuta kuuzunguka mji imara"
# kutoka Milo
Hii yaeleza ngome ya Yerusalemu, labda iliyo tengenezwa na Wayebusi.
# alikuwa naye
"alimsaidia"